Thanks to visit codestin.com
Credit goes to www.scribd.com

0% found this document useful (0 votes)
2K views1 page

ATUKUZWE Mungu

This document contains lyrics to a Swahili Catholic hymn titled "Atukuzwe Mungu" ("Praise God"). The hymn consists of 14 lines that praise various aspects of God, Jesus Christ, the Holy Spirit, Mary and Joseph. Each line follows the repetitive structure of beginning with "Atukuzwe" or "Litukuzwe" followed by the entity or attribute being praised. The hymn calls the faithful to praise God, Jesus, the Holy Spirit, Mary and Joseph.

Uploaded by

Timothy Barasa
Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd

You are on page 1/ 1

ATUKUZWE MUNGU

Traditional
Acc by Furaha Mbughi
 = 70
 3   
 8          
  
1.A tu ku zwe Mu ngu we tu Mta ka ti fu;

 3   
 8
4
    
           
A tu ku zwe Mu ngu we tu Mta ka ti fu;

            
      

2. Litukuzwe jina lake takatifu, Litukuzwe jina lake takatifu.

3. Atukuzwe Yesu Kristu Mungu na Mtu, Atukuzwe Yesu Kristu Mungu na Mtu.
4. Litukuzwe Jina lake Yesu Kristu, Litukuzwe Jina lake Yesu Kristu.
5. Utukuzwe Moyo wake mtakatifu, Utukuzwe Moyo wake mtakatifu.
6. Itukuzwe damu yake takatifu, Itukuzwe damu yake takatifu.
7. Atukuzwe Yesu katika Sakramenti, Atukuzwe Yesu katika Sakramenti.
8. Atukuzwe Roho Mtakatifu mfariji, Atukuzwe Roho Mtakatifu mfariji.
9. Atukuzwe Maria mama wa Mungu, Atukuzwe Maria mama wa Mungu.
10. Atukuzwe Maria aliyekingiwa, Atukuzwe Maria aliyekingiwa.
11. Atukuzwe Maria aliyepalizwa, Atukuzwe Maria aliyepalizwa.
12. Litukuzwe jina lake Mama Maria, Litukuzwe jina lake Mama Maria.
13. Atukuzwe Yosefu mchumba wake, Atukuzwe Yosefu mchumba wake.
14. Atukuzwe Mungu katika Malaika, Atukuzwe Mungu katika Malaika.

You might also like