(TA-GICANJAMÜKEI NIARIKITIE KŪRIÜKA.
Canjamûkai Mwathani nĩariūkite
Canjamūkai nīarikitie kwambata.
Üria wetikirire kũragwo niũndū witů
Niguo tūtuike agairwo ūtūũro wa iguru
Canjamūkai Mwathani nīariûkite.
Canjamūkai nīarikitie kwambata,.
1)(Toma ona warega gwitikia ūma ni ùmwe )
Canjamūkai Mwathani nīariūkite.
(Ati ni mūriūku kuuma kūri arīa makuire)
Canjamükai Mwathani nīariūkite.
2)(Ota ûria ariūkite n'oguo ona ithui tūkariūka.)
Canjamůkai
(Gikuû nĩ Adamu; iriüka ni Yesu Mwathani )
Canjamukai
3)(Riu ari igūrũ na +nimütue mũnene wakuo.)
Canjamůkai
(Ciümbe ciothe no mū-haka imūturirie maru.)
Canjamukai
4)(Niwe irigithathi kuuma kūri aria makuite.)
Canjamūkai
(Ningi ni irigitha-thi ria andū aria makariüka.
Canjamükai
NÍ NGWITİKIA
Ni ngwitikia, Ngai ümwe,
ni ngwitikia Ngai Ithe kihoti othe
(n) nĩ ngwitikia o ma (nil), nĩ ngwkia.
1 Mümbi wa igürũ na thi-
(n) nĩ ngwitīkia o ma (ni), nĩ ngwitikia
Nĩ ngwitīkia Yesu Kristū-
(n) nĩ ngwit ikia o ma (ni), nĩ ngwitikia.
Mwana wa Ngai wa mümwe-
(ni) nĩ ngwit Tkia o ma (ni), nĩ ngwitīkia.
wa mümwe Mwathani witū-
(n) nĩ ngwitīkia o ma (ni),. nĩ ngwitikia
2. Ngai üria wetuire münd0
na wiki wa Muoyo Mütheru-
nl aciarirüo nĩ Maria
Maria Thingi hingo ciothe-
3. Kristü nĩ atandiürinwo-
Pontio Pilato agiathana-
Ni ambirwo, ni akuire
agicooka agithikwo
ni aikürükire gwa akuü
4. Ni ariükire müthĩ wa ithatü-
na ni ambatire igürů-
aikaraga mwena wa ürio-
wa Ngai Ithe kihoti othe-
5. Nani agacooka gükü thi-
athuranie me muoyo na akuü-
ni ngwitikia Muoyo mütheru-
Kanitha Theru Gatoriki-
6 Uteithania wa Atheru-
na riohera rie mawihia-
ngwitikia inüka ria miir
na utuuro ütathiraga-
MASS SUBUKIA
BWANA BWANA UTUHURUMIE
1. Bwana, Bwana, Bwana utuhurumie x2
Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie x2
UTUKUFU JUU KWA MUNGU
(Utukufu juu kwa Mungu, na amani duniani,
kwao watu wenye mapenzi,
watu wenye mapenzi mema } x2
1. Tunakusifu tunakuheshimu, twakuabudu
tunakutukuza Twakushukuru kwa ajili yako, ya
utukufu wako mkuu.
2. Ee Mungu baba ndiwe mfalme, Mfalme wa
Mbinguni baba mwenyezi. Ee Yesu Kristu
mwana wa pekee, mwanakondoo mwana wa
Baba.
3. Uondoaye dhambi za watu tuhurumie
tusikilize, Tuhurumie mwenye rehema maombi
yetu uyapokee.
4. Uketiye kuume kwake, Mungu baba
tuhurumie. Kwa kuwa ndiwe pekee yako,
Pekee yako Mtakatifu.
5. Pamoja naye roho Mtakatifu, katika utukufu
wake Anayeishi na kutawala, milele yote
Amina.
5, OFFERTORY PROCESSION: MATEGA
Rīu nĩ twoka na matega maitü
Twoka gügütegera na rwendo
(Tondū o naithui tümamükirite
kuma küri ūtaana waku Ngai). x2
1)Mügate ūyũ wa ngano- moe Ngai
Njohi ya müthabibū-
Twoka gügūtegera
2)Na mbeca cia mihuko-
Magetha ma mīgünda-
Twoka gügütegera-
3)Mahiū ithui türīithagia-
Umithio wa üthükümi-
Twoka gügūtegera-
4)Ciana iria Gtühete-
O hamwe na aciari-
Twoka gügūtegera-
5)Na miciī itü yothe-
Kanitha na būrüri-
Twoka gügütegera-
6)Meciria maitū mothe-
Ikeno na mathīna-
Twoka gūgūtegera-
4. OFFERTORY: MATEGA (0)
SADAKA YANGU
Sadaka yangu, kwako ee Mungu
Ni moyo mnyofu na uliopondeka
Tazama wapendezwa na kweli ya
moyo
Nawe wanijulisha hekima kwa siri
Nioshe kabisa na uovu wangu wote
Na kinywa changu kitanena sifa
zako
1 Maana wewe Bwana hupendezwi
Na dha-bihu za kuteketezwa
Ama- sivyo mimi ningalikutolea
2. Wapendezwa na dhabihu za haki
Kuto-ka- kwa moyo mnyofu
Zitolewazo juu ya madhabahu yako
3. Ee Mungu wa wokovu wangu
Unipe moyo radhi wa utii
Usiniondolee Roho wako Mtakatifu
SALA
SALA YANGU
Sala yangu na ipae mbele yako (na ipae) kama moshi wa ubani x 2
1 Ee Bwana upokee sadaka yetu,
tunayokutolea kama shukrani zetu, Ee Bwana pokea.
2 Ee Bwana upokee dhabihu zetu,
tunayokutolea kutoka mashambani, Ee Bwana pokea.
3. Ee Bwana upokee pia nia zetu,
tunazokutolea kwa moyo wetu wote, Ee Bwana pokea.
6. MTAKATIFU/ALLELUYA
SUBUKIA
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Mungu wa majeshi
Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako.
Hosanna hosanna hosanna hosanna juu mbinguni
Mbarikiwa anayekuja anayekuja kwa Jina la Bwana
AMANI
TUPE AMANI WOLOLO (Mgeukie Mwenzako)
1 Tupe amani, Bwana tupe amani "2
Tupe amani, Bwana tupe amani 2
( Wololo-dlolo amani, wololo-dlolo amani, amani, amani ) *2
2. Tupe faraia
3. Tupe hekima
4. Tupe upole
5. Tupe umoja
6. Tupe uzima
MWANAKONDOO
MWANAKONDOO WA MUNGU (Subukia)
Mwanakon doo wa Mungu
Uondoae dhambi za dunia,
utuhurumie*2
Mwanakondoo wa Mungu Baba
Unayeondoa dhambi za dunia, (utujalie amani)*2
7. HOLY COMMUNION (0)
MUGATE WA NGANO
1 Mügate wa ngano (i); na njohi ya mitha-(-bibu); nitühariririo kirügoini giki *2
Ukai tümwamukire Kristu niwe irio cia ūtūüro: ningì nì mūgima oma nì mügima oma oma 2
2. Mwiri na Thakame (i); cia Mwathani witü (Kristü); ni irio cia ûtüüro na Kinyuuo kūna) *2
3. Mürii mwiri üyū (0i); na akanyua Thakame (yake); ndari hìndi agakua (ni agatüüra müoyo)*2
4 Twamūūkira Kristü (i): tūgüikara thi-ini (wake); nake aikare thi-ini (witü hìndi ciothe) 2
TARORA IRATHIMO
Tarora irathimo wone,uria Ngai ekite wone Ngai ari hamwe na andu ake x2
1 Kuma twaigua mugambo wa Mwathani-Ngai ari hamwe na andu ake
Waingira ngoro-ini riu no gwathika-Ngai ari hamwe na andu ake
Irathimo nacio ikiura ta mbura-Ngai ari hamwe na andu ake
2 Micii litu Ngai ni arathimite-
Wendo na gikeno ituraga Na ithui-
Ciana citu nacio niciathikaga-
3. Mawira ma moko niarathimite-
Makumbi Maitu no kuiyuririra-
Tuhunite ngoro na miiri itu-
4.Kwaya citu Ngai niarathimite-
Tuinagira Ngai twi na gikeno-
Wirutiri witu niarathimite-
Injili Yake Yesu
1. 1. Injili yake Yesu, ni neno lake Mungu,
Injili iende mbele aah aah aa
{ Injili iende mbele aah aah aa
Injili iende mbele ni neno la wokovu aah aah aa } *2
2. Ni neno lenye mwanga, ni neno lenye nguvu
Ni neno la amani aah aah aa
3. Injili yaokoa, injili yaponyesha
Injili yadumisha aah aah aa
4. Mkristu jiandae kusikiliza neno
Neno lenye uzima aah aah aa
Nikupe Nini Ee Mungu
1. Nikupe nini ee Mungu cha kukupendeza
Uwezo wangu mdogo Bwana waujua
Pamoja na dhiki inayonisonga
Pokea zawadi yangu hii duni
2. Nikitazama wenzangu wanakutolea
Zawadi nyingi na nzuri za kukupendeza
Kasoro mimi tu natoa kidogo
Wakati mwingine sitoi kabisa
3. Maisha yangu ya dhiki Bwana wayajua
Unyonge na udhaifu wangu waujua
Sina kitu mimi cha kukutolea
Lakini pokea nafsi yangu Bwana
4. Nayakabidhi maisha yangu kwako Bwana
Uniongoze katika njia za uzima
Unisaidie wakati wa shida
Kwani ni wewe tu tumaini langu
5. Kutoa ndugu ni moyo sio utajiri
Ukimtolea Mungu atakuongeza
Uwasaidie watu maskini
Wasiojiweza utabarikiwa
6. Ninawasihi wenzangu mliojaliwa
Maisha bora mazuri na ya kuridhisha
Msimsahau Bwana Mungu wenu
Toeni kwa wingi mtabarikiwa.
Hii ni Ekaristi
1. Hii ni ekaristi, aliyotuachia
Bwana Yesu Kristu (Kristu)
Mkombozi wa dunia
{ (imbeni) Imbeni kwa furaha
(sifuni) Sifuni ekaristi
(alimo) Alimo Yesu Kristu (Kristu)
Alimo ni mzima } *2
2. Yesu katuonea, wema pia huruma
Alitupenda sana (sana)
Akatupa uzima
3. Jioni Alhamisi, alichukua mkate
Kaugeza mwili (mwili)
Kuleni mkaokoke
4. Pia alichukua, kikombe cha divai
Kaigeuza damu (damu)
Kunyweni mkaokoke
5. Walipokwisha kula, kawaosha miguu
Nimewapa mfano (mfano)
Fanyeni nanyi vile
6. Yesu mwili na damu, chakula cha uzima
Tujaliwe kupata (pata)
Uzima wa milele.
Nimeahidi Yesu Lyrics
1. Nimeahidi Yesu - kukutumikia
Wewe u Bwana wangu - u rafiki pia
Sitaogopa vita - wewe ndiwe mweza
Sitaiacha njia - ukiniongoza
Imbeni aleluya, aleluya, imbeni
Shangwe kwa Bwana Yesu, ndiye mweza wetu
2. Dunia i karibu - Bwana siniache
Na mengi majaribu - yako pande zote
Siku zote adui - ni ndani na nje
Bwana Yesu nivute - karibu na wewe
3. Nikusikie wewe Bwana - nenda nami Bwana
Kelele za dunia - ndizo nyingi sana
Nena kunihimiza - au kunionya
Nena nikusikie - mwenye kuniponya
4. Umewapa ahadi - wakufuatao
Kwenda uliko wewe - wawe huko nao
Nami nimeahidi - kukutumikia
Nipe neema Bwana - ya kukwandamia
5. Hatua zako Bwana - na nizikanyage
Wewe u mwenye nguvu - mimi ni mnyonge
Niongoze nivute - nishike daima
Mwishoni niwasili - mbinguni salama